Saa 11 jioni Yanga itashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuchuana na Simba katika mchezo wa ligi kuu ya NBC
Mkufunzi wa Yanga Miguel Gamondi ameanza hivi;

- Djigui Diarra
- Yao Kouassi
- Chadrack Boka
- Ibrahim Bacca
- Dickson Job
- Khalid Aucho
- Maxi Nzengeli
- Mudathir Yahya
- Prince Dube
- Stephane Aziz Ki
- Pacome Zouzoua
SUBS
- Mshery
- Mwamnyeto
- Mkude
- Abuya
- Wilson
- Ibrahim
- Chama
- Musonda
- Baleke
- Mzize
ADVERTISE HERE