Ni mwendo wa kupeleka vilio Msimbazi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Oct 2024
Ni mwendo wa kupeleka vilio Msimbazi

Timu ya vijana ya Yanga U17 leo imeichapa Simba U17 mabao 2-0 katika mchezo wa ligi ya vijana uliopigwa uwanja wa TFF, Kigamboni

Ushindi huo ni mwendelezo wa Yanga kupeleka vilio Msimbazi ikiwa ni taribani wiki moja imepita tangu Yanga Princess ilipoichapa Simba Queens katika nusu fainali ya Ngao ya Jamii

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe ametamba kuwa wanakwenda kuongeza maumivu Oktoba 19

"Dhamira kubwa Ya viongozi wetu ni kumaliza kabisa 'vimdomo mdomo' linapokuja suala la football hapa Tanzania'

'Tulianza kuwashona Dada zao na vijana wetu wa U 17 wamewapeleka moto sana. BadoΒ  wakubwa sasa kuingia na wao kwenye chumba cha daktari"

"In Shaa Allah Football ya Kweli haitaki ujanja janjaa.. Wapige mdomo tukikutana kazi yetu ni kuwashona tu," alitamba Kamwe

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’