Afisa Mwenezi wa Yanga Jimmy Msindo 'Kindoki' akiwa nchini Marekani, leo amekabidhi cheti cha usajili wa tawi la Yanga la watanzania wanaoishi Marekani kwa viongozi wa tawi hilo
Hafla ya kukabidhi cheti hicho imefanyika katika ubalozi wa Tanzania jijini Washington DC, Marekani
Ni mwendelezo wa Yanga kuzindua Matawi rasmi yanayotambulika katika Mataifa mbalimbali







ADVERTISE HERE