Dabi inamfaa Arajiga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Oct 2024
Dabi inamfaa Arajiga

Homa ya pambano la watani wa jadi inazidi kupanda zikiwa zimesalia siku 9 tu kuelekea mchezo huo unaovuta hisia za mashabiki ndani na hata nje ya nchi

Kitapigwa Jumamosi, Oktoba 19 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, saa 11 jioni

Timu hizo zitakutana ikiwa ni takribani miezi miwili na siku kadhaa kupita baada ya mchezo wa nusu fainali Ngao ya Jamii ambao Wananchi walifanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0

Mwamuzi Elly Sassie alipewa jukumu la kusimamia mchezo huo ambao unaweza kusema uligubikwa na makosa mengi ya kibinadamu

Sassie pia alichezesha mchezo kati ya Azam Fc dhidi ya Simba uliopigwa visiwani Zanzibar malalamiko pia yakawa mengi dhidi yake

Ni wazi mashabiki wa Yanga wanasubiri kwa hamu jina la mwamuzi atakayekabidhiwa jukumu la kusimamia dabi ya Oktoba 19 lakini itakuwa habari mbaya kama atakuwa Sassie

Ahmed Arajiga ndiye aliyechezesha mechi zote za dabi msimu uliopita, kwa sasa Arajiga ndiye mwamuzi bora Tanzania

Hata Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF) limeanza kumtumia katika mechi za CAF CL, CAF CL na kufuzu Afcon

Unaweza kusema baada ya yale yaliyotokea kwenye Ngao ya Jamii, Arajiga ndiye anapaswa kupewa jukumu la kusimamia sheria 17 katika mchezo wa Oktoba 19

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
2h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
7h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’