Zahera kuungana na Yanga Morogoro leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Apr 2018
Zahera kuungana na Yanga Morogoro leo
Baada ya kusaini Mkataba wa kuitumikia Yanga mapema leo, kocha mpya wa mabingwa hao watetezi wa ligi kuu ya Vodacom, Mwinyi Zahera ameelekea Morogoro kuungana na kikosi cha Yanga kilichoweka kambi mkoani humo.

Zahera ametaka kuanza kazi mara moja hasa baada ya kuelezwa Jumapili ijayo kutakuwa na 'derby' dhidi ya Simba mchezo utakaopigwa kwenye uwanja wa Taifa.

"Tutazungumza na uongozi wa Yanga, lakini nadhani nitaanza kazi mara moja," amesema.

Akizungumzia kuhusu mchezo wake wa kwanza kuwa dhidi ya Simba, Zahera amesema hilo halimtii hofu kwa kuwa ameongoza michezo ya aina hiyo mingi.

"Nimekuwa kocha kwenye nchi za Afrika na Ulaya, nimeongoza michezo ya aina hiyo mingi sana, hao Simba waje tu," amesema Zahera anayeweza kuzungumza lugha ya kiswahili kwa kiwango cha kuridhisha.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’