Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) 2024/25 inaanza kutimua vumbi leo Jumatano Oktoba 09 2024
Yanga Princess imesafiri mkoani Mara ambapo kesho itafungua msimu kwa kumenyana na Bunda Queens katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Karume
Katika msimu huu Yanga Princess imejipanga na malengo ni kuwania taji la ligi hiyo
Vijana wa kocha Edna Lema wako tayari na bila shaka wataanza vyema msimu hapo kesho
ADVERTISE HERE