Yanga yarejea mazoezini kuiwinda Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Oct 2024
Yanga yarejea mazoezini kuiwinda Simba

Meneja wa Yanga Walter Harrison amethibitisha kuwa wachezaji ambao hawana majukumu ya timu za Taifa tayari wamerejea mazoezini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba utakaopigwa Oktoba 19 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Yanga inawakosa wachezaji 12 ambao wako katika majukumu ya timu za Taifa

Harrison amesema ari ya wachezaji iko juu wakiwa na hamasa kubwa kuelekea mchezo huo wa kwanza wa dabi kwenye ligi msimu huu

Tayari Yanga na Simba zimekutana mara moja katika mchezo wa nusu fainali Ngao ya Jamii msimu huu Yanga ikiibuka na ushindi wa bao 1-0

Harrison amesema wachezaji wataendelea na program mbalimbali za mazoezi kwa wiki hii na watapata mapumziko siku ya Jumapili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’