Obrey Chirwa hapana shaka atakuwa kwenye kikosi cha Yanga kitakachoivaa Simba Jumapili ijayo katika uwanja wa Taifa.
Chirwa ana kadi moja tu ya njano na si tatu kama ilivyoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari.
Chirwa ana sifa zote za kucheza mchezo huo, kwa suala la kadi tatu za njano halina ukweli wowote.

ADVERTISE HERE