Sure Boy aka Babu Kaju

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Oct 2024
Sure Boy aka Babu Kaju

Maxi Nzengeli jana alibeba tuzo ya nyota wa mchezo dhidi ya Pamba Jiji pengine ni kutokana na mchango wake katika upatikanaji mabao mawili kati ya manne yaliyofungwa na Yanga

Maxi alifunga bao moja na kutoa krosi ya bao la kwanza lililofungwa na Ibrahim Bacca

Lakini kama isingekuwa hivyo, tuzo ya nyota wa mchezo ilipaswa kwenda kwa Salum Abubakar 'Sure Boy'

Babu Kaju aliupiga mwingi sana jana, akikabdhiwa majukumu eneo la kiungo baada ya Khalid Aucho na Mudathir Yahya kupumzishwa

Aucho ana kadi mbili za njano hivyo kocha Miguel Gamondi alichukua tahadhari hasa ikizingatiwa mechi inayofuata ni dhidi ya Simba

Yanga inatoa tafsiri halisi ya kikosi kipana, 'ndani mtiti nje mtiti'

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’