Saa 10 jioni Wananchi watakuwa dimba la Sokoine kuikabili Ken Gold katika mchezo wa ligi kuu ya NBC
Maswali yamekuwa mengi juu ya mshambuliaji Jean Baleke kwa nini haonekani uwanjani?
Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi alimpa Baleke program maalum ya mazoezi, pengine leo Wananchi watarajie 'suprize' pale Sokoine, 'Jumanne' wanaweza kumshuhudia
Yanga imesheheni wachezaji bora katika kila eneo, jambo la uhakika ni kuwa kila mchezaji atapata nafasi ya kucheza kwa kuzingatia wingi wa mashindano ambayo Yanga inashiriki
Mashabiki wamekuwa na shauku kubwa ya kumuona Baleke kwani katika safu ya ushambuliaji ni yeye pekee aliyetumika kwa dakika chache
Tukutane Sokoine saa 10 jioni...!
ADVERTISE HERE