Chama awania rekodi CAF CL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Sep 2024
Chama awania rekodi CAF CL

Bao alilofunga katika mchezo dhidi ya CBE juzi limemfanya kiungo Clatous Chama kusogea juu katika rekodi ya wafungaji bora wa muda wote katika michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Chama amefikisha mabao 21 sasa akishika nafasi ya nne katika orodha ya wafungaji bora wa muda wote CAF CL

Mohammed Aboutrika aliyewahi kuitumikia Al Ahly, ndiye anayeshikilia rekodi akiwa amefunga mabao 31 akifungana na Tresor Mputu aliyewahi kuitumikia TP Mazembe

Emad Meteb (Al Ahly) ndiye anayefuatia akifunga mabao 24 huku nafasi ya nne ikishikwa na Chama mwenye mabao 21

Katika orodha hiyo ni Chama pekee ambaye bado anaendelea kucheza, wengine tayari wamestaafu

Chama atahitaji kufunga mabao matatu kuifikia rekodi ya Meteb na mabao 10 kuwafikia Aboutrika na Mputu

Katika hatua ya awali Chama amefunga mabao matatu, ana nafasi ya kufunga mabao zaidi katika hatua ya makundi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’