Baada ya kufanikiwa kutinga hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika kwa kuichapa CBE SA mabao 6-0 hapo jana, kikosi cha Yanga kimeondoka Zanzibar kurejea Dar es salaam
Yanga sasa inahamisha nguvu zake kwenye ligi kuu ambapo siku ya Jumatano, Septemba 25 Wananchi watakuwa mkoani Mbeya kuikabili Kengold katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Sokoine










ADVERTISE HERE