Kamati ya fedha Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Sep 2024
Kamati ya fedha Yanga

Stephane Aziz Ki ndiye Mwenyekiti wa kamati ya fedha ya wachezaji wa Yanga jana ikiingiza Tsh Milioni 30 baada ya ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya CBE SA na kutinga hatua ya makundi CAF CL

Katika hatua ya awali ya ligi ya mabingwa, jumla ya Tsh Milioni 85 zimepatikana kutoka banasi ya goli la Mama na mkwanja zaidi unatarajia kungia kutoka kwa Mdhamini/Mfadhili GSM ambaye jana aliweka wazi kuwa 'mzigo wa kutinga makundi upo'

Msimu huu wachezaji wa Yanga 'wako serious' na goli la Mama, wakaamua kuunda na Kamati ya Fedha kabisa!

Huko kwenye makundi kuna timu zinapigwa 'kama ngoma...!'

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’