Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga wamekamilisha maandalizi kuelekea mchezo wa kuwania tiketi ya kutinga hatua ya makundi michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya CBE SA
Yanga imekamilisha maandalizi katika uwanja wa New Amaan Complex ambao mchezo dhidi ya CBE SA utapigwa Jumamosi, saa 2:30 usiku










ADVERTISE HERE