Kabla ya dua maalum ya kuiombea Yanga ili ipate kuibuka na ushindi katika mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya CBE SA utakaopigwa uwanja wa New Amaan Complex hapo kesho, uongozi wa Yanga kwa kushirikiana na GSM Foundation wakatoa mahitaji muhimu katika Madrasa ya Swifat Nabawiya kwa Msolopa Kilimani Zanzibar ikiwa ni mwendelezo wa utamaduni wa kurejesha kwa Jamii








ADVERTISE HERE