Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe leo ataunguruma akiwa Zanzibar katika Mkutano na Waandishi wa habari
Mkutano huo utafanyika saa 6 mchana katika ukumbi wa mikutano uliopo ndani ya uwanja wa New Amaan Complex
Maafisa wa Yanga wako visiwani Zanzibar tangu mwanzoni mwa wiki hii wakikamilisha maandalizi kuelekea mchezo wa mkondo wa pili kuwania kufuzu hatua ya makundi ligi ya mabingwa dhidi ya CBE SA utakaopigwa Jumamosi
ADVERTISE HERE