Jumamosi ya wiki hii, Septemba 21, 2024 Yanga ina jambo lake visiwani Zanzibar katika mchezo wa mkondo wa pili kuwania tiketi ya kutinga hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya CBE SA
Ni katika uwanja wa New Amaan Complex mchezo huo muhimu kwa Yanga utapigwa saa 2:30 usiku
Viingilio vya mchezo huo tayari vimetangazwa na unaweza kujipatia tiketi kupitia vituo vilivyoainishwa;
ADVERTISE HERE