Waandishi wa Habari leo wamepata fursa ya kutembelea Makao Makuu ya klabu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es salaam na kufanya mahojiano na maafisa mbalimbali wa Yanga
Kwa mujibu wa kanuni, kila timu ya Ligi Kuu inapaswa kuandaa siku moja ya kuwaalika waandishi wa habari kuangazia masuala mbalimbali yanayoihusu klabu
Yanga ilichagua Septemba 17 kuwa siku maalum ya kukutana na wanahabari pale Makao Makuu ya Yanga na Avic Town ambako ndiko makazi rasmi ya wachezaji wa Yanga

ADVERTISE HERE