Kikosi cha Yanga kimerejea leo kutoka Ethiopia ambako jana walipata ushindi muhimu wa bao 1-0 dhidi ya CBA SA katika mchezo wa mkondo wa kwanza kuwania tiketi ya hatua ya makundi CAF CL
Uwanja wa New Amaan Complex ndipo mchezo wa mkondo wa pili utapigwa Jumamosi ijayo, Septemba 21, 2024
Zitakuwa dakika 90 muhimu kwa Yanga kujihakikishia tiketi ya kutinga hatua ya makundi kwa msimu wa pili mfululizo




ADVERTISE HERE