Zanzibar iko tayari CAF CL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Sep 2024
Zanzibar iko tayari CAF CL

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi jana aliwaongoza Wananchi katika Uwanja wa Gombani visiwani Pemba kushuhudia 'mbashara' mchezo wa mkondo wa kwanza raundi ya pili ligi ya mabingwa kati ya CBE SA dhidi ya Yanga

Bao la Prince Dube liliihakikishia Yanga kuondoka na ushindi muhimu wa bao 1-0 ugenini ambao unaiweka Yanga katika nafasi nzuri ya kutinga hatua ya makundi sasa wakihitaji ushindi au hata matokeo ya sare katika mchezo wa marudiano

Kwa 'nyomi' la Wananchi waliojitokeza uwanja wa Gombani, inaonyesha ni kwa kiasi gani Zanzibar iko tayari kwa mechi ya mkondo wa pili ambayo inatarajiwa kupigwa katika dimba la New Amaan Complex

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’