Kikosi cha Yanga kimekamilisha maandalizi kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya CBE SA utakaopigwa kesho Jumamosi katika uwanja wa Abebe Bikila
Yanga imehitimisha mazoezi yake katika uwanja huo leo

ADVERTISE HERE