Baada ya kutua Ethiopia mapema leo, kikosi cha Yanga kimeanza maandalizi kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya CBE SA utakaopigwa Jumamosi katika uwanja wa Abebe Bikila
Yanga leo imefanya mazoezi yake katika dimba la Abebe Bikila ambapo Wananchi watafanya maandalizi ya mwisho katika uwanja huo hapo kesho pia






ADVERTISE HERE