Msuva alivyomuaga Mchungaji wake

Yanga Damu By Yanga Damu
β€’
26 Jul 2017
Msuva alivyomuaga Mchungaji wake
Jana baada ya kuwaaga wachezaji na viongozi wa Yanga, winga Simon Msuva alikwenda kumuaga Mchungaji wake wa kanisa la K.K.K.T Ubungo Lutheran Church Rev Godlisten Nkya.



Mchungaji Nkya alimfanyia maombi maalamu Msuva kisha kumkabidhi zawadi ya Bibilia kama nguzo yake ya mafanikio.

Msuva alimshukuru mchungaji huyo na kisha kumkabidhi jezi ya Yanga.



Ameondoka leo kuelekea nchini Morocco ambako atafanyiwa vipimo vya Afya na klabu ya Difaa El Jadida.

Kama atafuzu, Yanga italipwa asilimia 80 ya ada ya uhamisho na asilimia nyingine italipwa baada ya Yanga kuwasilisha 'document' za uhamisho.



Kila la kheri, Simon Msuva.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’