Baleke aandaliwa kuikabili CBE SA

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Sep 2024
Baleke aandaliwa kuikabili CBE SA

Kuna uwezekano mkubwa kocha mkuu wa Yanga Miguel Gamondi akamtumia mshambuliaji Jean Baleke katika mchezo wa mkondo wa kwanza kuwania tiketi ya hatua ya makundi ligi ya mabingwa dhidi ya CBE SA Jumamosi ya wiki hii huko Ethiopia

Baleke ni mshambuliaji pekee aliyebaki kikosini kipindi hiki wakati wenzake Clement Mzize, Prince Dube na Kennedy Musonda wakiwa katika majukumu ya timu za Taifa

Baleke amepata muda wa kutosha kufanya mazoezi na wenzake Avic Town huku mshambuliaji huyo akitumika katika mechi mbili za kirafiki akifanikiwa kufunga bao 1

Baleke na Chadrack Boka walikosa mechi ya hatua ya awali CAF CL dhidi ya Vital'o baada ya ITC zao kuchelewa, tayari Yanga imekamilisha usajili wao kwa ajili ya kuwatumia katika hatua inazofuata

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’