Yanga yapokewa kwa heshima Mbeya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Apr 2018
Yanga yapokewa kwa heshima Mbeya
Kikosi cha Yanga kimewasili mkoani Mbeya tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Mbeya City kesho Jumapili, April 22, 2018.

Yanga iliondoka jijini Dar es salaam mapema leo kwa usafiri wa Ndege.

Baada ya kutua kwenye uwanja wa Ndege wa Songwe, Wapenzi na Wanachama wa klabu ya Yanga waliofika uwanjani hapo walijipanga mistari miwili kuwaacha wachezaji wapite katikati (guard of honour) huku wakiwapigia makofi.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
11m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’