Droo ya Makundi ya michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika imefanyika jiji la Cairo nchini Misri leo ambapo Yanga imeangukia kundi D sambamba na Gor Mahia, Rayon Sports na USM Alger.
Yanga(Tanzania), Gor Mahia(Kenya) na Rayon Sports(Rwanda) zote zinatoka Afrika Mashariki.
USM Alger ni mabingwa zamani wa ligi ya mabingwa wanatoka nchini Algeria.
Timu mbili zitakazomaliza nafasi za juu zitatinga robo fainali ya michuano hiyo.

Makundi yote

ADVERTISE HERE