Mtita, Mtengwa matumaini kibao Uganda

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Sep 2024
Mtita, Mtengwa matumaini kibao Uganda

Nyota wa Yanga U20 Isack Emmanuel Mtengwa na Shaibu Mtita wataitumikia Wakiso Giants ligi kuu ya Uganda msimu huu

Yanga ilifikia makubaliano ya kuwatoa wachezaji hao kwa mkopo wa msimu mzima ili kuwaimarisha

Mtita alikuwa wa kwanza kujiunga na Wakiso na baadae kufuatiwa na Mtengwa ambaye amewashukuru viongozi wa Yanga kwa kuwapatia nafasi hiyo

"Tunawashukuru viongozi wa Yanga, wameweka utaratibu mzuri kwanza kutupa nafasi ya kufanya mazoezi na timu kubwa ambapo hutujengea kujiamini lakini hili la kututoa kwa mkopo hilo litasaidia sisi kupata uzoefu na kujulikana zaidi kimataifa," alisema

Yanga na Wakiso zina makubaliano ya ushirikiano ambapo kwa nyakati tofauti Yanga iliwapokea wachezaji kutoka Wakiso kuwa nao katika kikosi ili kuwapa uzoefu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
7h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
11h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
12h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
12h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’