Wakati Mashabiki na Wanachama wa Yanga mkoani Kagera wakisubiri timu yao kuwasili majira ya saa 9 Alasiri, Wananchi wamekutana Soko Kuu kunywa supu
Yanga itakuwa Kagera kucheza mechi ya ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar ambayo itapigwa kesho Alhamisi katika uwanja wa Kaitaba
Huu sasa ni utaratibu rasmi kwa Wananchi wanapokuwa na jambo lao, supu lazima...!










ADVERTISE HERE