Hersi mgeni rasmi uzinduzi CAF CL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Aug 2024
Hersi mgeni rasmi uzinduzi CAF CL

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said atakuwa mgeni rasmi katika mchezo wa mkondo wa pili hatua ya awali michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika kati ya wenyeji Yanga dhidi ya Vital'o

Mchezo huu utatumika kama uzinduzi rasi wa michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika 2024/25

Nje ya uongozi wake katika klabu ya Yanga, Hersi ni Mwenyekiti wa umoja wa klabu barani Afrika (ACA) ambapo kupitia nafasi hiyo ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya CAF

Hersi na viongozi wengine akiwemo Rais wa TFF Wallace Karia, wataiwakilisha CAF katika tukio la uzinduzi huo ambapo Yanga imepewa baraka zote na CAF kufanya tukio hilo

Kuna watu walidhani tukio hilo ni propaganda tu zinazofanywa lakini jana CAF wenyewe kupitia tovuti yao, wamethibitisha kutambua

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema shamrashamra kuelekea uzinduzi huo zitaanza mapema na kisha kuhitimishwa na mchezo kati ya Yanga dhidi ya Vital'o

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’