Goli la Mama kuwaponza Vital'o

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Aug 2024
Goli la Mama kuwaponza Vital'o

Kimahesabu ni kama Yanga imetanguliza mguu mmoja mbele raundi ya kwanza ya ligi ya mabingwa barani Afrika baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Vital'o katika mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa uwanja wa Azam Complex

Mechi ya marudiano kukamilisha hatua ya awali itapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya Jumamosi, August 24, Yanga ikiwa mwenyeji wa mchezo huo

Kimahesabu Yanga watahitaji hata sare tu ili kusonga mbele lakini ni wazi Wananchi watakwenda kucheza kwa nguvu kubwa kuhakikisha wanaondoka na ushindi mnono

Ushindi wa mabao 4-0 waliopata katika mchezo wa kwanza uliwapatia Tsh Milioni 20, fedha maarufu 'goli la Mama' ambazo ni bonus inayotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dk. Samia Suluhu Hassan, Tsh Milioni 5 kwa kila goli linalofungwa katika mechi hizi za hatua ya awali

Hivyo mchezo wa pili Yanga sio tu itakuwa ikitafuta matokeo ili iweze kutinga raundi ya kwanza, lakini kila goli litakalofungwa litakuwa na thamani ya Tsh Milioni 5 na hapa ndipo Vital'o wataifahamu vyema Yanga...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’