Huyu Aziz Ki Yanga iko kwenye damu yake

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Aug 2024
Huyu Aziz Ki Yanga iko kwenye damu yake

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Stephane Aziz Ki unaweza kusema ni mchezaji mwenye furaha kubwa pale anaposhuka uwanjani kuitumikia Yanga

Aziz Ki ameendeleza kudhihirisha kuwa yeye ni mchezaji wa timu, mafanikio binafsi ni ziada kwake

Ukitaka kuthibitisha hilo angalia shamra shamra zake pale Yanga inapofunga bao

Mara nyingi hushangilia kwa furaha mabao yanayofungwa na wenzake pengine kuliko hata pale anapofunga yeye

Katika moja ya mahojiano yake, Aziz Ki aliweka bayana kuwa kwake ushindi wa timu ni jambo muhimu zaidi kuliko mafanikio yake binafsi

"Hapa tunacheza kwa ajili ya Yanga, tunapambana ili kuhakikisha tunafikia malengo ya timu, kwangu mafanikio binafsi ya mchezaji ni ziada baada ya timu kufikia malengo yake," alisema

Mara nyingi hata anapokuwa benchi huwa sio rahisi kumuona Aziz Ki amekaa katika kiti, kila mara utamuona akizungumza na kuwahamasisha wachezaji wenzake uwanjani

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’