Msimu huu 'maokoto' yameongezeka katika michuano ya CAF ya ligi ya mabingwa na kombe la Shirikisho ambayo mechi za hatua ya awali zimeanza kupigwa jana
CAF wametoa zaidi ya Tsh Milioni 134 kwa kila timu inayoshiriki michuano hiyo kwa ajili ya maandalizi
Aidha CAF pia wameongeza fedha za zawadi kwa kila hatua
Hivi hapa viwango vipya vya zawadi;
CAF champions league - CAFCL
- Tsh 10.7 Billion - Winner
- Tsh 5.3 Billion - Runner-up
- Tsh 3.2 Bilion - Semi final
- Tsh 2.4 Billion - Quarter final
- Tsh 1.9 Billion - Group stage
- Tsh 134 million - Preliminary
CAF Confederations cup - CAFCC
- Tsh 5.3 Billion - Winner
- Tsh 2.6 Billion - Runner-up
- Tsh 2.0 Billion - Semi final
- Tsh 1.4 Billion - Quarter final
- Tsh 1.0 Billion - Group stage
- Tsh 134 million - Preliminary
ADVERTISE HERE