Boka amkosha Gamondi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Aug 2024
Boka amkosha Gamondi

Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amemsifu mlinzi wa pembeni Chdrack Boka kwa kuendelea kuonyesha kiwango bora tangu alipojiunga na mabingwa hao wa nchi

Juzi katika mchezo wa fainali Ngao ya Jamii dhidi ya Azam Fc, Boka aliuwasha moto kwelikweli krosi yake ikisababisha bao la pili la Yanga pale Azam Fc walipojifunga katika mchezo ambao Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 4-1

Gamondi amesema Boka ni mchezaji anayejituma sana katika mechi na hata anapokuwa mazoezini

"Boka ni mchezaji mzuri nfurahi kuwa nae hapa. Ni mchezaji ambaye amekuwa akijituma zaidi kuanzia mazoezini"

"Anawahi na kuanza mwenyewe mazoezi kabla ya pamoja, lakini pia juhudi zake hizo anazionyesha pia kwenye mechi"

"Ni mchezaji mwenye nidhamu kubwa ya mchezo, naamini atakuwa na mchango mkubwa kama ilivyo kwa kila mchezaji msimu huu," alisema Gamondi

Yanga imemsajili Boka kutoka klabu ya Fc Lupopo ya DR Congo akichukua nafasi ya Joyce Lomalisa aliyetimkia Sagrada Esperanca ya Angola

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
15h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’