Msafara wa timu ya Yanga leo umealikwa ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia baada ya hapo jana kuwatoa kimasomaso Watanzania kwa kutinga hatua ya makundi michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika.
Leo mchana msafara huo uliojumuisha wachezaji na viongozi wa Yanga ulialikwa kupata chakula cha mchana na Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, Mh Naimi Aziz.
Yanga inatarajiwa kurejea nchini Tanzania usiku wa kuamkia kesho.

ADVERTISE HERE