Ni kesho Jumapili pale uwanja wa Benjamin Mkapa Yanga itachuana na Azam Fc katika mchezo wa fainali Ngao ya Jamii
Ni sahihi kusema maji yamejitenga na mafuta kwani timu za Ligi ya Mabingwa zitachauana kuwania Ngao ya Jamii wakati timu za Shirikisho zitachuana kuwania nafasi ya tatu
TFF imeweka hadharani viingilio vya mchezo huo ambapo ukilipa fainali, mechi ya mshindi wa tatu utaangalia bure
Mechi ya timu za Shirikisho itapigwa saa 9 na kufuatiwa na fainali saa 1 usiku
ADVERTISE HERE