Mmoja wa wasanii wakali wa muziki wa kizazi kipya maarufu kama Bongo Fleva, Ali Kiba amefunga ndo leo huko Mombasa nchini Kenya.
Ukiachana na kazi yake ya muziki, Kiba ni shabiki na mdau namba moja wa klabu ya Yanga.
Huyu ni miongoni mwa mashabiki 'lialia' wa Yanga. Kama yuko ndani ya nchi, humkosi uwanja wa Taifa Yanga inapocheza.
Tunamtakia kila la kheri kwenye maisha yake mapya ya ndoa.

ADVERTISE HERE