Kama bado hujakata tiketi basi fahamu una muda mchache sana kwani tiketi zilizobaki ni chini ya 5,000!
Ni tiketi za viti vya rangi ya machungwa pekee ambazo bado zinapatikana, ni suala la muda tu nazo zitamalizika
Yanga inakwenda kumaliza tiketi zote leo tena bila ya ulanguzi kama wale wengine...!
ADVERTISE HERE