Leo majira ya saa 7 mchana, Wananchi watakutana Mbagala Zakhiem kwa ajili ya tukio kubwa la hamasa kuelekea kilele cha wiki ya Mwananchi August 04 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Kwa wale ambao bado hawajakata tiketi, hii ni fursa kwao kwani huduma hiyo itapatikana
Kutakuwa na sapraizi ya Burudani kutoka kwa wasanii wakubwa hapa nchini
Hii ya leo inaitwa FUNGA KAZI....!
ADVERTISE HERE