Kwa wale ambao bado hawajakati tiketi kuelekea Wiki ya Mwananchi, unaweza kusogea Makao Makuu ya Yanga, Jangwani kujikatia tiketi yako
Mamia ya mashabiki wa Yanga wameendelea kujitokeza Jangwani kukata tiketi zao mapema kabisa
Tiketi zinazopatikana kwa sasa ni VIP B (30,000/-), C (15,000/-), Machungwa (10,000/-) na Mzunguuko (5,000/-). Pia unaweza kukata tiketi yako kupitia mitandao ya simu
ADVERTISE HERE