Mashabiki na Wanachama wa klabu ya Yanga leo wameshiriki zoezi la kufanya usafi katika Hospitali ya rufaa, Temeke jijini Dar es Salaam
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe aliongoza zoezi hilo ikiwa na sehemu ya matukio yanayofanyika katika Wiki ya Mwananchi
Aidha kwa kushirikiana na GSM Foundation, Yanga imetoa misaada mbalimbali katika Hospitali hiyo









ADVERTISE HERE