Klabu ya Yanga imeitangaza Bank ya CRDB kuwa ndio wadhamini wakuu wa Wiki ya Mwananchi ambayo ilizinduliwa jana jijini Dar es salaam
Akizungumza katika Mkutano na waandishi wa Habari mapema leo, Mkurugenzi wa Sheria wa Yanga Simon Patrick, amesema pia kuna washirika wengine ambao ni Bank ya Equity na GSM Beverage
Aidha Yanga Yanga leo imesaini mkataba wa miaka mitano na kampuni ya GSM Beverage, kampuni mpya ya vinywaji
Mkataba huo una thamani ya Tsh Bilioni 1
ADVERTISE HERE