Mlinda lango wa Yanga Youthe Rostand amestahili tuzo ya mchezaji bora wa mchezo dhidi ya Wolaitta Dicha leo.
Yostand ameokoa mabao dhahiri sio chini ya matatu.
Kwa kiasi kikubwa ameisaidia Yanga kutinga hatua ya makundi ya michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika licha ya kufungwa bao 1-0 huko Hawassa nchini Ethiopia.
Hakika Youthe Rostand ni miongoni mwa walinda mlango bora kabisa kuwahi kuvaa uzi wa Yanga.
Kocha wa makipa Juma Pondamali anastahili pongezi kwa kumuamini licha ya presha kubwa kutoka kwa mashabiki wakati fulani.
Pondamali amemuimarisha zaidi na kumfanya pasi na shaka kuwa miongoni mwa makipa bora kabisa.

ADVERTISE HERE