Bado takribani wiki moja kuelekea Wiki ya Mwananchi ambayo kilele chake ni August 04 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Wananchi wameendelea kununua tiketi kwa kasi na dalili zinaonekana mwaka huu 'sold out' ya tiketi zote itatokea
Mpaka sasa Yanga imethibitisha tiketi za VIP A tayari zimeuzwa zote na kuwataka Wananchi waendelee kuchangamkia tiketi za madaraja mengine

ADVERTISE HERE