Droo ya hatua ya Makundi ya Michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika itafanyika jijini Cairo siku ya Jumamosi, April 21 2018.
Yanga iliyotinga hatua hiyo kwa ushindi wa jumla wa mabao 2-1 dhidi ya Wolaitta Dicha inaungana na timu nyingine 15 zitakazotinga hatua hiyo leo.
Mpaka sasa timu ambazo zimeshatinga hatua ya makundi ni Yanga, Al Masry, Vita Club, ASEC na USM Alger.
Michezo mingine ya kukamilisha hatua ya mtoano inatarajiwa kupigwa leo.

ADVERTISE HERE