Kikosi cha Yanga kimehitimisha ushiriki wake katika michuano ya Mpumalanga Premier's International Cup na sasa kinaelekea Johanesburg kwa ajili ya mchezo wa Toyota Cup dhidi ya Kaizer Chiefs utakaopigwa Jumapili, Julai 28 katika uwanja wa Toyota








ADVERTISE HERE