Wiki ya Mwananchi nunua tiketi mapema

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Jul 2024
Wiki ya Mwananchi nunua tiketi mapema

Yanga tayari imetangaza viingilio vya kilele cha wiki ya Mwananchi ambapo mwaka huu kiingilio cha chini Mzunguuko ni Tsh 5,000/-

Mwaka huu Yanga imetoa ahueni upande wa Mzunguuko kwani mwaka jana ilikuwa Tsh 10,000/-

Kwa aina ya usajili ambao Yanga imefanya pamoja na burudani zinazotarajiwa kushuka dimba la Mkapa August 04, shoo ikitarajiwa kusimamiwa na Buggati, Mwananchi unapaswa kununua tiketi yako mapema

Lakini pia Yanga haijawaweka kando wale wenye 'msuli' wa kifedha na wanapenda mambo mazuri

Kuna tiketi za VVIP ambazo zinapatikana kwa Tsh 600,000/- na Royal zinazopatikana kwa Tsh 300,000/-

VVIP unapata jezi tatu za msimu mpya wa mwaka 2024/25, viburudisho wakati wa mapumziko na usafiri na kwenda na kurudi uwanja ambao unakuwa na escort ya Polisi

Wale wa Royal wanapata jezi moja ya msimu mpya, chakula cha mchana, nafasi ya kukaa VIP A, viburudisho na usafiri wa kwenda na kurudi uwanjani'

Kuna kila dalili wiki ya Mwananchi ya mwaka huu itakuwa 'sold out' mapema

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’