Lwandamina aitakia kheri Yanga Ethiopia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Apr 2018
Lwandamina aitakia kheri Yanga Ethiopia
Aliyekuwa kocha Mkuu wa Yanga George Lwandamina ameitakia kheri klabu ya Yanga iweze kupata ushindi dhidi ya Wolaitta Dicha leo.

Lwandamina aliyejiweka pembeni kwa sasa, ndiye aliyeiongoza Yanga kupata ushindi wa mabao 2-0 kwenye mchezo wa kwanza jijini Dar es salaam.

"Kushinda ni hali ya akili ambayo inahusisha kila kitu, kila la kheri vijana," ameandikwa Lwandamina kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Facebook.

Licha ya kudaiwa kusaini mkataba wa awali kuitumikia ZESCO, mwenyewe amekataa kata kata.

Hata hivyo kocha huyo anasubiri mkataba wake wa kuitumikia Yanga umalizike mwishoni mwa msimu aanze majukumu mapya kwenye klabu ya ZESCO.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’