Ni suala la muda sasa Haji Manara maarufu 'Bugatti' atarejea katika majukumu yake ya kuisemea Yaanga baada ya kumaliza kifungo cha TFF
Ni miaka miwili Manara hajaonekana katika ile mikutano ya waandishi wa Habari akishusha nondo na hamasa
Lakini pia Wananchi 'wamemiss' makeke yake katika Wiki ya Mwananchi, kutambulisha wachezaji, mara ya mwisho aliacha ile kauli yake maarufu ya Wananchiiiiiiiiiiiiii iiii iiiiii ambayo imekuwa ikitumika katika kipindi chote alichokosekana
August 04 mwamba anarudi upyaaaaaaa, hiyo ni kilele cha Wiki ya Mwananchi pale uwanja wa Benjamin Mkapa...!

ADVERTISE HERE