Ibrahim Mohamed Said amejiunga na Yanga akiongezwa katika Idara ya Mashindano ya Mabingwa hao wa nchi
Kabla ya kutua Yanga, Said alikuwa Mtendaji Mkuu wa klabu ya Kagera Sugar
Said ni sehemu ya msafara wa Yanga uliotua Afrika Kusini jana kwa ajili ya awamu ya pili ya pre-season inayoanza na mchezo dhidi ya Augusburg Fc hapo kesho katika michuano ya Mpumalanga International's Cup
ADVERTISE HERE