Baleke 'kukiwasha' Afrika Kusini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Jul 2024
Baleke 'kukiwasha' Afrika Kusini

Mshambuliaji Jean Baleke ni miongoni mwa wachezaji waliosafiri na kikosi cha Yanga Afrika Kusini kwa ajili ya awamu ya pili ya pre-season ambapo Wananchi watashiriki michuano ya Mpumalanga International's Cup pamoja na Toyota Cup

Kesho Jumamosi, Julai 20 Yanga itazindua Mpumalanga International's Cup kwa kuumana na Augusburg inayoshiriki ligi kuu ya Ujerumani maarufu Bundesliga mchezo ukitarajiwa kupigwa saa 10 jioni

Baleke amekuwa sehemu ya kikosi cha Yanga tangu timu ilipoanza pre-season Avic Town, wengi wanajiuliza kwa nini hajatambulishwa?

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema kuna mambo yanawekwa sawa kabla ya nyota huyo kutambulishwa

"Kuna wachezaji hatujawatambulisha kwa sababu kuna mambo kadhaa tunayakamilisha lakini niwahakikishie kila kitu kinakwenda vyema, tutakamilisha kabla ya dirisha la usajili kufungwa," alisema Kamwe

Dirisha la usajili la CAF kwa ajili ya hatua ya awali ligi ya mabingwa linatarajiwa kufungwa kesho, hivyo ni wazi mpaka kufikia saa 5:59 ya Jumamosi, mshambuliaji huyo huenda akawa amekamilisha taratibu zote

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
21h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’